Top Stories

Infinix kuja na Zero X na Zero Xpro

on

Tarehe 13 ya Mwezi wa Tisa kampuni ya simu Infinix kwa mara ya kwanza ilizindua rasmi simu mpya kutoka kwenye toleo mama la kampuni hiyo, Infinix ZERO X na Infinix ZERO XPro. Katika uzinduzi huo kampuni ya “Royal Observatory Greenwich ya jijini londoni ilikiri kuwa Infinix ZERO X pro imekuja kuleta mapinduzi ya technolojia ya Kamera na hii ni baada wataalamu hao wa ANGA kuonyesha baadhi ya picha zilizopigwa na kamera ya Infinix ZERO X pro yenye MP108 na 60X periscope Zoom Lens. habari njema Infinix ZERO X pro kupatikana Tanzania kwa mfumo wa PRE-ORDER https://www.instagram.com/p/CUHZRjxtnaY/

Huduma ya Pre-order ilianza rasmi 22/9/2021 na itadumu hadi 29/9/2021 chakufanya tanguliza kiasi cha sh.50,000-kwanza na 1/10/2021 utafika Maduka ya Infinix na Tigo ukiwa na kiasi cha sh.700,000 kamili. Hii ikiwa na maana wateja wa pre-order kununua ZERO X pro kwa punguzo la sh. 50,000 pia mteja wa pre-order atazawadiwa bundle la GB96 na lens za kamera. Tembelea maduka yafuatayo ku Pre-order

  • Dar-es-Salaam, Infinix Smart Hubs Mlimani City, Infinix Smart hub China plaza na Maduka ya Tigo.
  • Mwanza, Mwita Mobile Shop.
  • Mbeye, DM tecno Center.
  • Arusha, Summit Center.
  • Tanga, Shiwa Exclusive Mkwakwani.
  • Dodoma, Mr. Kelvin Barabara ya 6.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na huduma kwa wateja 0717356468

Soma na hizi

Tupia Comments