social network

Instagram: Mwanamitindo maarufu Chanel Iman wa Marekani yuko Tanzania

By

on

Moja kati ya stori ambayo inaendelea kutrend kwenye mitandao ya kijamii ni ya Mwanamitindo maarufu wa Marekani Chanel Iman ameitembelea Tanzania, amepost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa Serengeti, na  miongoni mwa walio-like ni Rapper Fabolous.

Ulimiss Hii ya Mwigizaji Iren Uwoya alivyoguswa na kikundi cha wa kinaMama Ubungo DSM itazame hii video hapa chini..

Soma na hizi

Tupia Comments