Mix

Instagram watangaza kuzifuta ‘LIKES’ nchini Marekani wiki ijayo

on

Ni Headlines za mtandao wa instagram ambapo leo Novemba 9, 2019 mmiliki wa mtandao huo Bwana Adam Mosseri ameutaarifu umma kwamba kuanzia wiki ijayo kwa watumiaji wa mtandao wa instagram nchini Marekani hawataziona LIKES kama ilivyokuwa kawaida.

Hapo awali Adam aliwahi kuhojiwa na moja ya chombo kikubwa nchini Marekani na kusema mpango wake wa kuziondoa LIKES kwenye mtandao huo na leo amesema kuanzia wiki ijayo yaani Jumatatu kwa wazawa wanaoishi Marekani wataondolewa LIKES nchini humu taarifa hiyo ameitoa katika mkutano wa WIRED25 huko  San Francisco California nchini Marekani.

ULIIKOSA KWENYE MAUA SAMA AFIKA KWA ALIKIBA ‘NILIMKUTA STUDIO, NIKAOMBA’ LIFT VIDEO ITAZAME HII 

 

Soma na hizi

Tupia Comments