Duniani

Hii ndio Ripoti mpya kuhusu idadi ya watumiaji wa #INSTAGRAM Duniani kwa sasa..

on

Katika Mitandao ya Kijamii iliyobeba umaarufu mkubwa Duniani, Facebook ilianzishwa February 2004, Twitter ilianzishwa March 2006 hiyo ilikuwa miaka miwili mbele ya FacebookInstagram imechukua umaarufu mkubwa sana sasahivi kwa sababu watu wengi wanapendelea kushare pichaz na watu wao, Insta ilianzishwa mwaka 2010 na kuanza kuchukua headlines mdogomdogo !!

Ripoti mpya imetoka na imethibitishwa na Wamiliki wa Instagram wenyewe, taarifa ikufikie kwamba Instagram imefikia hatua ya kuwa na watumiaji MILIONI 400 mpaka kufikia September 22 2015, hiyo ni ndani ya miaka mitano tangu Mtandao huo umeanzishwa.

Multi ethnic Friends having fun in city taking selfie

Mtu na rafiki yake katika pozi la nguvu kunasa selfie yao !!

Kwa Takwimu hizo ni kwamba mpaka sasahivi, Instagram umekuwa Mtandao ambao umekua kwa kasi zaidi ndani ya kipindi cha miaka mitatu ambapo watumiaji wake wanakaribia kufikia hesabu ya watumiaji wa Twitter ambao wanakadiriwa kuwa MILIONI 500 Duniani kote.

We are thrilled to announce that the Instagram community has grown to more than 400 million strong and is even more global, with 75 percent of our community living outside the US. To all the new Instagrammers: welcome! Among the last 100 million to join, more than half live in Europe and Asia. The countries that added the most Instagrammers include Brazil, Japan and Indonesia. Instagrammers continue to capture incredible photos and videos from all corners of the earth (and even the solar system). We’ve seen the first surface image of Pluto and the Champions League celebrations, as well as striking locales like the white pools of Turkey and a Namibian desert ghost town. These are just a few of the more than 80 million photos per day shared on Instagram. Also, the most followed accounts that joined in the last 100 million include David Beckham from the UK (@davidbeckham), Caitlyn Jenner (@caitlynjenner) from the US, Indonesia’s Raffi and Nagita (@raffinagita1717), German soccer player Toni Kroos (@toni.kr8s) and South Korea’s T.O.P (@choi_seung_hyun_tttop). When Instagram launched nearly five years ago, 400 million seemed like a dream. Now, we continue to strive to improve Instagram — helping you experience the world through images and connect with others through shared passions.

A photo posted by Instagram (@instagram) on

Instagram ni kama ilipata nguvu zaidi na umaarufu kuanzia mwaka 2012 ambapo wamiliki wa Facebook waliinunua Instagram kwa Dola Bilioni Moja ambazo kwa TZ inagusa karibia Trilioni 2.2 kwa hesabu ya sasahivi!

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments