Habari za Mastaa

#INSTALIVE: Nandy na Sho madjozi wameteaser ujio wa ngoma yao mpya

on

Ni Msanii kutokea Bongo Flevani, Nandy ambae ameunga na msanii kutokea Afrika Kusini aitwae Sho Madjozi kuwasikilizisha mashabiki zao ngoma yao waliyoifanya hivi karibuni, itazame hii video ujionee mwanzo mwisho wakizungumza kupitia Insta Live.

 

ULIIKOSA HARMONIZE ALIVYOMTAMBULISHA MSANII HUYO WA KWANZA KWENYE LEBO YAKE YA KONDE GANG 

Soma na hizi

Tupia Comments