Habari za Mastaa

Ninazo Pichaz kutoka Instagram Party Tz….Mei 30 Dar es salaam!!

on

179int

Baadhi ya wahudhuriaji

Wingi wa watumiaji mbalimbali wa mitandao ya kijamii unafanya baadhi ya vitu kuwezekana kirahisi ikiwemo hizi party ambazo zinawahusu zaidi watumiaji wa huduma husika.

Naambiwa kuwa kwa sasa Tanzaniana nayo ipo kwenye list ya kuwa na watumiaji wengi wa Instagram kutoka nchi za Afrika Mashariki,Mei 30 watumiaji wa Instagram walikutanishwa na party ya pamoja.

Mzee Majuto,Ben Pol,Shetta,Stan Bakora,Izzo B,Mirror,Wema Sepetu,Petit Man,B dozen na Adam Mchomvu kutoka XXL ya Clouds Fm walikua ni miongoni mwa mastaa waliokuwepo viwanja vya Posta vilivyopo Sayansi Dar es salam.

51int

Adam Mchomvu kutoka XXL ya Clouds Fm

12int

Dj D Ommy na Bibo Climax

4int

23int

25int

79int

Stan Bakora na team yake

80int

Mzee Majuto na Adam Mchomvu

93int

110int

88int

132int

147int

165int

Ben Pol

159int

152int

B Dozen kutoka XXL ya Clouds Fm

174int

Wema Sepetu

182int

191int

201int

217int

Mirror

222int

Petit Man na Dj D Ommy

210int

Shadee na Adam Mchomvu

250int

268int

Young Dee na Shadee

229int

Izzo B

228intUnahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

 

Tupia Comments