social network

Instagram: Maneno 85 ya Mrisho Mpoto kuhusu Paul Makonda

on

Mrisho Mpoto Leo March 6 2016 amezichukua headlines kupitia mtandao wake wa Intagram kuandika maneno 85 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Hiii NChi ya Ajabu sana ukifanya vizuri lazima upate maadui mpaka Wakushushe, ndiyo waanze kumpansisha mwingine, Wako wapi waliosema Makonda Songa mbele usirudi nyuma? mko wapi mliomuita Makonda shujaa mkombozi wa Wa watoto wetu, leo kila mtu anamruka na kuona hakuna alichofanya This is not Fair at all, angalieni utendaji wake Wa kazi na siyo vyeti vyake guys!! Songa Songa Songa Makonda kama ulivyosema hii vita siyo ndogo na ina wanafiki wengi. /react-text @paulmakonda react-text: 40 /react-text @paulmakonda react-text: 42 unawaona waleeeeeee ndiyo siyo watu Wazuri kabisa!! ????’

Ulimiss Hii ya Mwigizaji Iren Uwoya alivyoguswa na kikundi cha wa kinaMama Ubungo DSM itazame hii video hapa chini..

 

Soma na hizi

Tupia Comments