Habari za Mastaa

Kwenye zile za Instagram,Nimekuwekea hizi za Diamond na Zari wakifanya mazoezi….

By

on

coverUkubwa na umaarufu wa mtandao wa kijamii wa Instagram unafanya tuyajue mambo mengine ambayo inawezekana kama usingekuwepo tungepata taabu sana kutambua au kufahamu kinachoendelea kwenye maisha ya mastaa wetu.

Leo kwenye akaunti ya Mpenzi wa Diamond Platnumz bibie Zari the Boss Lady amepost picha wakiwa Gym kama akifundishwa hivi kufanya mazoezi na Diamond Platnumz,picha hizo ni hizi.

zari

zari2PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments