Michezo

Inter Milan imemsainisha Eriksen

on

Kiungo wa Denmark Christian Eriksen mara baada ya kusaini mkataba wa miaka minne wa kuichezea Inter Milan ya Italia, amechagua kuvaa jezi namba 24, mkataba wake utamalizika 2024.

Eriksen kabla ya kukamilisha usajili huo alikuwa anahusishwa kwa muda mrefu kuondoka Tottenham na kudaiwa kuhitajika na Real Madrid, Barcelona, Juventus, PSG na Man United.

 

Soma na hizi

Tupia Comments