Top Stories

FULL INTERVIEW: Mtoto Anthony Petro kaongea

on

Anthony Magongwa ni Mtoto mwenye miaka 11 na ni mwanafunzi wa Darasa la kwanza shule ya msingi Ndungusi Kijiji cha Ndungusi Kata ya Kabamga wilaya ya Ngara Kagera, alipata umaarufu baada ya kuonekana kwenye mitandao ya kijamii akiongea kuhusu kumshtaki Baba yake mzazi Kituo cha Polisi kwa kuona anataka kuuza eneo la shamba lao kijijini kwako.

AyoTV na millardayo.com, zimesafiri hadi kijijini kwao kuzungumza na Baba yake na mtoto mwenyewe na ameeleza maisha anayoishi na familia yake kwenye hii EXCLUSIVE.

Baba alieshtakiwa Polisi na Mwanae azungumzia kifo cha Mama Anthony, watoto 20

Soma na hizi

Tupia Comments