Top Stories

Historia ya Hussein Mwinyi, udhaifu, Mtoto wa kishua, kuaminiwa na JPM na JK, kuongoza Jeshi (+video)

on

Dk. Hussein Mwinyi alianza safari yake ya elimu ya Msingi Jijini DSM kati ya mwaka 1972 – 1976, Shule ya Msingi Oysterbay, kati ya mwaka 1984–1985 wazazi wake walimhamishia Misri na akasoma katika Shule ya Msingi “Manor House Junior” ambako alihitimu elimu ya msingi.

Shule hii ilikuwa na hadhi ya “Middle School za Tanzania” kwa wakati huo. Mwinyi alipelekwa Misri kwa sababu baba yake, Ali Hassan Mwinyi, alikuwa balozi wa Tanzania nchini Misri wakati huo, itazame historia yote hapa.

BREAKING: MWINYI ATANGAZWA KUWA MGOMBEA URAIS ZANZIBAR , MAGUFULI TANZANIA BARA

Soma na hizi

Tupia Comments