Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Watuhumiwa wengine wawili wauawa Kibiti Usiku wa kuamkia July 6, 2017
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Watuhumiwa wengine wawili wauawa Kibiti Usiku wa kuamkia July 6, 2017
Mix

Watuhumiwa wengine wawili wauawa Kibiti Usiku wa kuamkia July 6, 2017

July 6, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Miongoni mwa Taarifa kubwa zilizosomwa usiku wa leo July 6, 2017 kwenye habari ya Channel 10 ni pamoja na hii ya Jeshi la Polisi kuwaua watu wawili wanaodaiwa kufanya mauaji katika Wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji, mkoani Pwani.

Mkuu wa Operesheni Maalumu  za Jeshi la Polisi,  Naibu Kamishna wa Polis Liberatus Sabas amesema tukio hilo lilitokea usiku wa jana majira ya saa nne katika msitu wa Ngomboroni Wilayani Ikwiriri ambapo mtuhumiwa mmoja anayedaiwa kushiriki katika mauaji hayo  kukamatwa na kukubali kuwaonyesha Polisi mahali ambapo hufanywa maficho ya wenzake.

>>>”Operesheni hii ni endelevu, Serikali haitakubali kuchezewa na wahuni wachache. Hawa wanaofanya matukio haya ni wachache walio wema ni wengi kwa hiyo Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya Usalama tutashirikiana na wananchi ambao ni wengi kuweza kufuatilia na kuwatia mbaroni hao wanaojihusisha na matukio haya.

“Tumeshawakamata kadhaa, mahujiano yanaendelea. Vitendea kazi ambavyo ni silaha za moto nazo zimeendelea kukamatwa. Natoa wito kwa wananchi wa Wilaya za Mkuranga, Kibiti lakini pia Rufiji na meneo yanayozunguka maana taarifa inaweza kupatikana sehemu yoyote.

“Yeyote mwenye taarifa ambazo zitasaidia kupatikana wahalifu hawa ambao wanachafua taswira nzuri ya nchi yetu, Tanzania ambayo tunajua nikisiwa cha amani wanataka kutuchafua. Watupe taarifa hizo na sisi hatuta sita kuzitumia taarifa hizo na kuwatia mbaloni wahusika hawa” – Liberatus Sabas.

VIDEO: CUF ya Prof. Lipumba vs Maalim Seif walivyokutana Mahakamani leo

You Might Also Like

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

TCDC na Makakati kukuza biashara kidijitali

TAGGED: serikali ya Tanzania, siasa, Tanzania news, Vifo
Victor Kileo TZA July 6, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rais Magufuli aridhia ombi la kustaafu Jaji wa Mahakama Kuu Prof. Ruhangisa
Next Article Vitu 6 vya kufahamu kutoka kwenye AMPLIFAYA leo July 6, 2017
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?