AyoTV

VIDEO: Wallace Karia ndio Rais wa TFF mwenye mafanikio zaidi katika historia

on

AyoTV baada ya ushindi wa Taifa Stars wa 2-1 (agg 2-2) dhidi ya Sudan wa kufuzu kucheza fainali za CHAN 2020, ilifanya mahojiano na Wallace Karia ambaye ni Rais wa TFF kuhusiana na mafanikio hayo na nini kimefanya apate mafanikio mengi kwa muda mfupi akiwa TFF.

Karia katika historia ya soka la Tanzania anabakia kuwa Rais wa kwanza wa Taasisi hiyo kuweka rekodi ya kuwa katika utawala na kufanikisha Taifa Stars kufuzu CHAN na AFCON 2019 kwa mwaka mmoja lakini ndani ya miaka miwili ya utawala wake Karia amefanikisha pia timu ya Beach Soccer kufuzu AFCON ya beach soccer hapa anaeleza siri ya mafanikio hayo.

“Usisahau kuwa tumekwenda AFCON beach soccer kwa mara ya kwanza tulikuwa hatujawahi kwenda, lakini pia mafanikio hayawezi kuja bila ushirikiano wa maono yenu yale ambayo mmeyapanga na tumeyafuatilia kwa makini sana kingine ushirikishwaji wa wadau wote”>>> Karia

AUDIO: SERGIO AGUERO WA MAN CITY AMEPATA AJALI

Soma na hizi

Tupia Comments