Habari za Mastaa

Joti & Idris hawajzmuacha Mc Pilipili salama “Siku ya ndoa utakojoa”

on

Mchekeshaji Mc Pilipili anazidi kuchukua headlines kwenye mitandao ya kijamii hii ni baada ya kuangusha kilio siku yake ya engagement  iliyofanyika January 05,2019 kumekuwa na comments tofautitofauti kuhusiana na hilo lakini kwa upande wa Joti na Idris Sultan hawakumuacha salama.

Bonyeza PLAY kutazama walichokifanya Idris pamoja Joti

NISHA BEBE KAWAFUNGUKIA NI KUHUSU VIBENTEN

Soma na hizi

Tupia Comments