Video Mpya

VideoMPYA: Nay Wa Mitego anakusogezea ‘Amsha Popo’

on

Leo April 16,2018 staa wa muziki wa Hip Hop Nay Wa Mitego anakualika kuitazama ngoma yake mpya ya “Amsha Popo” ukiwa ni wimbo mpya. Bonyeza PLAY na kutazama.

Alichokifanya Majizo kwenye Birthday ya Lulu

 

Soma na hizi

Tupia Comments