Habari za Mastaa

Picha za gari aina ya Bentley la Fally Ipupa baada ya kupata nalo ajali.

on

1525436_1389491214640324_1833902906_nMsanii Fally Ipupa amepata ajali na gari lake aina ya Bentley huko Kinshasa Congo DRC ambapo mtu mwingine aliekuwa kwenye gari lingine ameumia na kukimbizwa hospitali ila Fally Ipupa hajaumia kutokana gari lake kuwa na airbag ambazo zilimsaidia.

Hizi hapa ni baadhi ya picha za ajali yenyewe.

ciPbjw1389212507
fally-acc2-300x300

GqQFFb1389212400
jyk9bW1389213892
K783GC1389213815
w430.68de7_644da4c9db6bc8b35e73f19b98dfd2f4

Tupia Comments