Mix

PICHA 17: Irene Uwoya alivyowakutanisha kwenye Valentine’s Day

on

February 14 2017 ambayo ni siku ya Wapendanao Mwigizaji wa Tanzania Irene Uwoya aliwakutanisha watu mbalimbali Dar es salaam kwenye usiku wa mahaba na malavidavi yote ambapo Wapenzi maarufu waliulizwa maswali na kuyajibu vilevile.

Stage ilisimamiwa na Waimbaji Linah na Becka ambapo kama hukupata time ya kuhudhuria nimekukusanyia hizi picha, video yake itafata leoleo kukuonyesha ilivyokua hivyo pia hakikisha ume-subscribe kwenye Youtube channel ya millardayo

Irene Uwoya na Mtangazaji Zamaradi Mketema

Mose Iyobo na Aunty Ezekiel ni miongoni mwa waliohudhuria

Mwigizaji Jackline Wolper

SHILAWADU na Diva

Mwigizaji Kajala

Barnaba na Linnah

Diva na Kajala

Irene Uwoya akihojiwa na AyoTV

Mwimbaji Becka

OnAIR: Irene Uwoya ajibu kuhusu Mwanamke ataemchukuliwa Mwanaume, Wanaume wanaokwenda Saluni? Mwanaume akichepuka? majibu yote yako kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments