Top Stories

Iran na Marekani vita imeanza upya, Trump akamatwe, imepamba moto Interpol, uadui usioisha (+video)

on

Iran imetoa waranti wa kukamatwa na imeliomba msaada Shirika la Polisi ya Kimataifa Interpol kumkamata Rais Donald Trump na wengine kadhaa inaoamini walifanya shambulio la ndege isiyo na rubani lililomuuwa jenerali wa juu wa Iran mjini Baghdad.

Mwendesha mashtaka wa Iran Ali Alqasimehr amesema Trump na Watu wengine zaidi ya 30 ambao Iran inawatuhumu kwa kushiriki katika shambulio la Januari 3 lililomuuwa Jenerali Qassem Soleiman mjini Baghdad, wanakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya ugaidi.

DUUH: PROF. JAY AMVUNJA MBAVU RAIS MAGUFULI MKUTANONI, AWATAKA WANANCHI WAMPIGIE MAKOFI NA SHANGWE

Soma na hizi

Tupia Comments