Habari za Mastaa

Irene Uwoya: “Niko tayari kwa Ndoa ya 3, sikubadili dini.. niliondoka siku hiyohiyo”

on

Ni muda mrefu kidogo Irene Uwoya hajakaa na Millard Ayo kwenye Interview, time hii imekua poa sana sababu Irene amefunguza zaidi ya alivyofanya mara ya mwisho, humu ndani kaongelea Ndoa yake iliyovunjika, movie yake mpya ya I DANCE, kuiacha nyumba na kila kilichondani yake na kuondoka moja kwa moja na mengine, bonyeza play hapa chini kuitazama

EXCLUSIVE: ROMA ASIMULIA ALIVYOITWA NYUMBANI KWA RAIS MAGUFULI “NILIFATWA NA MAGARI MANNE”

Soma na hizi

Tupia Comments