AyoTV

Simba imemsimamisha kazi nahodha wake msaidizi, atalipwa nusu mshahara (+Video)

on

February 29 uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo Haji Manara wametangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana nahodha msaidizi wa timu hiyo Hassan Is-haka,

“Ni kweli tumemsimamisha leo mchana kutoka na utovu wa nidhamu, jana tukiwa kambini alimjibu kocha wa Simba Jackson Mayanja kuwa likizo yake ya kukaa benchi imeisha na kwani asicheze mechi ya Simba na Yanga, apangwe mechi dhidi ya Singida United” >>> Haji Manara

Zaidi unaweza kumuangalia Haji Manara hapa akieleza kwa kirefu

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andikaAYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

Tupia Comments