Habari za Mastaa

VIDEO: Nandy kaenda Kenya, aongelea kutokuhudhuria Ibada ya Ruge

on

Mwimbaji Staa wa Bongofleva Nandy ameshafika Nairobi tayari ambapo kwa mara ya kwanza kwenye muziki wake kesho April 28 anazindua album yake ya The African Princess mjini Nairobi na hapa nakusogezea video ya Nandy akizungumza kuhusu maandalizi ya uzinduzi huo pamoja na mambo mengine ikiwemo kutokuhudhuria ibada ya shukrani ya marehemu Ruge.

 Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL VIDEO

VIDEO: KUTOKA NAIROBI TEAM NANDY WAZUNGUMZA WALIVYOJIPANGA UZINDUZI WA ALBUM YA NANDY

Soma na hizi

Tupia Comments