Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
Share
Notification Show More
Latest News
Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
September 27, 2023
Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa
September 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
Top Stories

Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana

May 31, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Isaac Mnyagi mkazi wa kata ya Sombetini Katika jiji la Arusha amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha amesomewa shtaka la shamulio la kumdhuru mwili wa mke wake Jackline Mkonyi kwa kumpiga sehemu mbalimbali za mwili wake pamoja nakumng’oa jino kwa kifaa cha nchakali.

Mbele ya Hakimu,Jenifa Edward wa mahakama ya Wilaya ya Arusha,katika kesi namba 80 ya mwaka 2023, wakili wa serikali Charles Kagilwa akisaidiana na Godfrey Nungu na Callorine Kasubi,alidai mnamo Mei 23 mwaka huu majira ya saa tano usiku katika eneo la Osunyai kwa Diwani jijini Arusha Mshtakiwa Mnyangi alimshambulia Jackline Mkonyi(38)ambaye ni mke wake na kumng’oa jino moja ,kumpiga kwa Mkanda Usoni na mgongoni na maeneo ya mwili wake na kimsababishia madhara.

You Might Also Like

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa wito wa kukomeshwa kwa silaha za nyuklia

Edwin TZA May 31, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
Next Article Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok
Top Stories September 27, 2023
Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake
Top Stories September 27, 2023
Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi
Sports September 27, 2023
Shule yatozwa faini kwa kutumia picha za watoto bila idhini ya wazazi Kenya
Top Stories September 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Indonesia:Wananchi wapigwa marufuku kununua au kuuza bidhaa kwenye mitandao ikiwemo TikTok

September 27, 2023
Top Stories

Ukraine kutumia muda wa ukimya siku ya Jumapili kuwaenzi wanajeshi wake

September 27, 2023
Sports

Ukraine imesema haitacheza katika mashindano ya kandanda yanayohusisha timu za Urusi

September 27, 2023
Top Stories

Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan Imran Khan ahamishwa jela nyingine,kifungo charefushwa

September 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?