Ni Agosti 7, 2022 ambapo DJ wa Kenya The Creme De La Creme ataungana na Warembo kutoka Afrika Kusini Tango na Supreme kuwaburudisha Watanzania watakaofika fukwe za bahari ‘Kidimbwi Beach’ DSM.
Hapa unaweza ukabonyeza play kuwashuhudia Warembo hao Tango na Supreme wakizicheza nyimbo zao maarufu kama Amapiano.