Habari za Mastaa

Ishu ya Corona yamgusa Alikiba na kuandika haya ( + Video)

on

Mwimbaji Staa kutokea Bongoflevani Alikiba ameguswa na ishu inayoendelea kwa sasa ulimwenguni ya Ugonjwa wa Corona ambayo kwa Tanzania idadi ya wanaougua umeongezeka na kufika watu 6 kwa mujibu wa wizara ya Afya.

Alikiba ameguswa na janga hili la Corona na kupelekea kutumia ukurasa wake wa Twitter kuandika haya.

..>>>Ikitokea mtanzania anafanya ujinga wa namna hii kwa haraka haraka mimi nitahisi huu ugonjwa ni biashara inamaa atakua katumwa au Je wewe utafikiria nini?”Alikiba

PLAY hapa kuona VIDEO aliyomfanya Alikiba akafunguka hivyo.

Mwana FA akutwa na Corona “Nimetengwa, Nina Corona”

 

Soma na hizi

Tupia Comments