Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Israel na palestina yakubaliana kuacha mapigano.
Share
Notification Show More
Latest News
Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
May 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Israel na palestina yakubaliana kuacha mapigano.
Top Stories

Israel na palestina yakubaliana kuacha mapigano.

February 27, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Maafisa wa Israel na Palestina wamekubaliana kusitisha mapigano baada ya mazungumzo ya nadra nchini Jordan, hii ni baada ya kuongezeka kwa machafuko mwaka huu na kusaababisha Waisraeli wawili kuuawa katika Ukingo wa Magharibi wakati mkutano ukiendelea.

Katika taarifa yao ya pamoja baada ya mkutano huo uliofanyika eneo la Pwani la Aqaba pande zote zimekubaliana kuachana na hali ya kuhasimiana na kujitenga na machafuko zaidi.

Wakati mazungumzo hayo yakiendelea, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri wake wa usalama wa taifa, Itamar Ben-Gvir, walisema katika taarifa kwamba “raia wawili wa Israel waliuawa katika shambulio la kigaidi la Wapalestina”  eneo ambalo Israel inalikalia kimabavu tangu kufanyika kwa Vita vya Siku Sita vya mwaka 1967

muendelezo wa hatua hiyo wajumbe hao wataendelea na mazungumzo yanayojikita katika kujadili  njia za kutuliza mivutano ya kiusalama katika eneo hilo kabla ya mwezi wa Ramadhani”, ambao unaanza katika kipindi kifupi kijacho.

You Might Also Like

Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA February 27, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rais wa Mexico agonga vichwa vya habari adai kuwa na picha za mnyama wa kichawi.!
Next Article Uchauguzi Nigeria 2023:Matokeo ya awali ya uchaguzi yaanza kutangazwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito
Top Stories May 30, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Katibu wa NEC anena kuhusu mfumo wa M-Mama, utasaidia kupunguza vifo vya akina Mama Wajawazito

May 30, 2023
Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?