Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
Β© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 9: Kutana na mtoto wa Steve Nyerere aliyezaa na staa huyu wa Bongomovie
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
Β© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > PICHA 9: Kutana na mtoto wa Steve Nyerere aliyezaa na staa huyu wa Bongomovie
Habari za Mastaa

PICHA 9: Kutana na mtoto wa Steve Nyerere aliyezaa na staa huyu wa Bongomovie

May 23, 2018
Share
1 Min Read
SHARE

Msanii wa filamu Bongo Steve Nyerere ametuonesha picha za mtoto wake mdogo anayetimiza mwaka siku ya leo May 22, 2018 mtoto aliyezaa na Msanii wa filamu Wellu Sengo ‘Matilda‘ kama utakumbuka wawili hawa waliwahi kuhusishwa kutoka kimapenzi kipindi cha nyuma.

Licha ya Steve Nyerere kutuonesha picha za mtoto huyo ambaye ni wakike lakini pia mastaa mbalimbali akiwemo Wema Sepetu na Nuh Mziwanda wamempost na kumtakia heri mtoto huyo…….>>>”TIVU…!!! TIVU….!!! TIVU….!!! Aaaaah sijui hata niseme nini… Umejifungua Baba… Mashallah Jamani… Waone mlivyo kama mapapai… Hapa ulituliza Kosekshen yako… Hongera Tivu akee… Mungu akutunzie Binti yako na Familia yako”

“Ila pia mpende sana @sengomatilda @sengomatilda @sengomatilda … My Baby sister umempa huyu mtu Bichwa kubwa sana kwakweli… Kababy kenu ni kashweet kupita maelezo… 😍😍😍” -WEMA SEPETU

…>>>“Twins ‘Hongera sana Brother copy kabisa @stevenyerere2 πŸ”₯” -Nuh Mziwanda

EXCLUSIVE: Nyoshi kafunguka kutumia mkorogo, ametaja mastaa wanaotumia

EXCLUSIVE: Mo J kazungumza kutokumpa hela Gigy “Sikatai kuna muda unakosa pesa”

You Might Also Like

EXCLUSIVE: Alikiba akanusha kuepo kwenye Album ya Davido, aingia kwenye kilimo

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

TAGGED: Bongofleva, bongoflevanews, Facebook Twitter na Insta
Victor Kileo TZA May 23, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Wafanyabiashara Tanzanite wafunguka hali ya kibiashara baada ya ukuta kujengwa
Next Article Mambo aliyozungumza Q Chillah kuhusu kuacha Muziki “Sijaja kwenye muziki kwa kiki”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

Β© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?