AyoTV

EXCLUSIVE: ‘Rais Magufuli ameugusa moyo wangu’ – Yvonne Chaka Chaka

on

Mwimbaji hodari wa siku nyingi Afrika, Yvonne Chaka Chaka amekutana na Ayo TV na millardayo.com Johannesburg South Africa ambapo katika mazungumzo aliyasema ya moyoni kuhusu Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli na alivyoeleza jinsi anavyomfahamu Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mkewe Salma…mtazame hapa chini

ULIIKOSA HII YA YVONNE CHAKACHAKA ALIVYOMUONGELEA ALIKIBA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

ULIKOSA MAPPKEZI YA ALIKIBA DAR ES SALAAM AKITOKEA SOUTH AFRICA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments