AyoTV

VIDEO: Mwalubadu katua Bongo hii ilikuwa kabla ya kupata matoke Yanga na Zesco

on

Comedian Mwalubadu ambaye kwa hivi karibuni ameelekeza maisha yake nchini Norway, leo ametua Airport Dar es Salaam na baada ya kutua tu kaanza na Mbwembwe kuhusu game ya Yanga timu ambayo anaishabikia dhidi ya Zesco, mchezo ambao umemalizika kwa Yanga SC kutolea kwa kufungwa 2-1 aggregate ikiwa 3-2.

VIDEO: Antonio Nugaz kaanza na Mbwembwe Yanga “Yanga unyonge kwisha”

Soma na hizi

Tupia Comments