Habari za Mastaa

UTAIPENDA: Mpaka studio producer Moko akitengeneza ‘Mwambie sina’ ya Kings music, Kafunguka haya

on

AyoTV na millardayo.com zimemtembelea Producer Moko Genius ambaye amezidi kujulikana zaidi kwa mwaka 2018 baada ya kufanya hit songs nyingi ikiwemo wimbo wa ‘Mwambie sina’ wa kwao Kings Music inayosimamiwa na mwimbaji Alikiba, Moko amefunguka baadhi ya mambo ikiwemo kuionesha AyoTV jinsi utengenezaji wa biti ya wimbo wa ‘Mwambie sina’ na nyinginezo ulivyokuwa.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video.

VIDEO: UKALI WA MWIJAKU KWA WANAOLALAMIKA JANUARY NGUMU KIFEDHA KATAJA WAMFANO

Soma na hizi

Tupia Comments