Michezo

Matokeo ya UEFA Champions League October 22 2019, Sterling akipiga hart-trick

on

Usiku wa October 22 2019 ilichezwa michezo nane ya muendelezo wa michuano ya UEFA Champions League hatua ya Makundi, usiku huo umemalizika kwa kushuhudia matokeo ya kushangaza ikiwemo rekodi mpya kuwekwa katika historia.

Kwa upande wa Raheem Sterling akiwa na Man City katika mchezo dhidi ya Atalanta uliyomalizika kwa Man City kushinda magoli 5-1, usiku huo ulimalizika kwa Raheem Sterling kufunga hart trick yake ya kwanza katika michuano ya UEFA Champions League.

Matokeo ya game za UEFA Champions League zitakazochezwa October 22 2019.

AUDIO: SERGIO AGUERO WA MAN CITY AMEPATA AJALI

Soma na hizi

Tupia Comments