AyoTV

VIDEO: Jibu la Kagere alipoulizwa kuhusu Molinga wa Yangaat

on

Mshambuliaji wa Simba SC Meddie Kagere msimu huu amekuwa wa moto baada ya kufanikiwa kufunga kila mechi ya Ligi Kuu akiwa na club yake ya Simba SC na kuiwezesha kuvuna point tatu.

Kagere sasa amefunga jumla ya magoli 7 aliyofunga katika michezo 5 akiwa na Simba SC msimu wa 2019/20 wa Ligi Kuu Tanzania bara, baada ya kufanya vizuri sasa leo amezungumzia maandalizi yao kuelekea mchezo dhidi ya Singida lakini alipoulizwa comment yake kuhusu Molinga wa Yanga alijibu kuwa hawezi kuzungumzia wachezaji wa nje ya Simba SC.

VIDEO:CEO WA SIMBA , ALIPOULIZWA HATMA YA AUSSEMS KWAKUTOFIKIA TARGET

Soma na hizi

Tupia Comments