Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kwenye U-HEARD leo ni ishu ya Diamond kutohudhuria Mazishi ya Ivan
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > Kwenye U-HEARD leo ni ishu ya Diamond kutohudhuria Mazishi ya Ivan
AyoTV

Kwenye U-HEARD leo ni ishu ya Diamond kutohudhuria Mazishi ya Ivan

June 10, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Kwenye U-heard leo May 30, 2017 kupitia XXL ya Clouds FM mtangazaji Soudy Brownametuwekea karibu story inayomuhusu Diamond Platnumz ambaye amekuwa gumzo baada ya kufanya show Nairobi wakati mzazi mwenzake Zari akiwa kwenye msiba wa mume wake wa zamani Ivan.

Gumzo hilo lilienda mbali zaidi kwa madai kuwa Tiffa hajapelekwa msibani kwa sababu baba yake Diamond alimzuia huku story zikihusishwa kuwa Diamond hajahudhuria mazishi kwa sababu amezuiliwa kuingia Uganda hivyo baada ya show ya Kenya alirudi Tanzania.

Soudy Brown alimpigia Diamond lakini hakumpata hivyo alimpigia Meneja wake Salaamkujua ukweli wa mambo haya na alikuwa na majibu haya.

>>“Ile ilitokea bahati mbaya tukashindwa ku-cancel dakika ya mwisho. Kuna kitu kinaitwa toba, basi tutaomba toba. Kwenye mazishi hatujahudhuria, ilikuwa twende leo Alfajiri lakini sasa kumbe wao wametoka usiku kwenda kijijini. Kwa hiyo nadhani ratiba yetu imeingiliana maana na sisi tulitoka Nairobi jana jioni.”  – Salaam 

Diamond Platnumz alivyo perfom kwenye Tamasha Nairobi (+video)

Majibu ya Diamond kuhusu kuhudhuria msiba wa Ivan, watoto wake (+Audio)

You Might Also Like

EXCLUSIVE: Alikiba akanusha kuepo kwenye Album ya Davido, aingia kwenye kilimo

Picha: Diamond na Wafanyakazi wa Wasafi Media wafika Bungeni Dodoma

Tazama Zuchu alivyotinga na Rolls Royce ya Diamond katika listening party ya EP ‘FOA’

Mabibi na Mabwana Diamond anakukaribisha kuitazama hii video mpya ya Gidi

Diamond, Wizkid, Burna Boy na Megan Thee Stallion jukwaa moja Ureno

TAGGED: Diamond Platnumz
Admin June 10, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Baada ya Diamond na Alikiba, Dogo Janja naye kuleta bidhaa zenye jina lake
Next Article PICHA 12: Muonekano wa Bustani ya Askari Monument DSM baada ya maboresho
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?