Video Mpya

VideoMPYA: Huyu hapa Yemi Alade ft Rick Ross kwenye ‘Oh My Gosh’

By

on

Yemi Alade kutokea Nigeria amekwea pipa mpaka Marekani na kumvuta rapper Rick Ross kwenye mdundo wa ‘Oh My Gosh Remix’, Bonyeza PLAY hapa chini kuburudika na ngoma hiyo.

VIDEO: VANESSA MDEE AKUTANA NA NGULI WA MUZIKI AFRIKA M’BILIA BEL

Soma na hizi

Tupia Comments