Habari za Mastaa

Iyanya na mipango yake 2015…

on

iyanya-away-video-2

Ni mwaka mpya, kila mtu ana mipango, mikakati ya mambo ambayo atayafanya mwaka huu.

Iyanya ni mmoja ya mastaa ambao wamepata mafanikio makubwa Afrika kwa mwaka 2015, wote ni mashuhuda wa kazi zake nzuri zilizoshika kwa mwaka wote 2014.

Ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram (@iyanya) kwamba 2015 ni mwaka wake wa kupunguza stress, kuongeza ubunifu katika kazi yake, kukutana na watu wakubwa, kutengenez ngoma kali na kupata pesa nyingi zaidi, kushukuru mashabiki wake na mengine mengi mazuri.

2015:I resolve to reduce stress,keep in shape,improve my mental skills/concentration,meet great people,make more hits/more money.Above all I want to know my king more and more..appreciate my true fans a lot more.My God is with us…God bless you @ubifranklintriplemg @selebobo1@teknoofficial @emmanyra @bassokon,Biodun,Ken,Sam,omini,Noah,@niceprinceamaniAmos,bayo aka coope.love you all for making me a stronger G.bless“– @iyanya

Capture-3 Inya

 

Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

 

Tupia Comments