Habari za Mastaa

Iyanya anafunga mwaka kwa kukutakia kheri ya Christmas na hii video – ‘Come All Ye Faithful’!

on

Ikiwa zimebaki saa chache kusherekea sikukuu ya Christmas kwa mwaka huu wa 2015, staa wa muziki kutoka Nigeria, Iyanya ameungana na NdaniTV ya Nigeria kwa ajili ya kutoa live performance ya moja ya nyimbo maarufu za Christmas, ‘Come All Ye Faithful’.

Hapa chini ni video ya live performance ya Iyanya ndani ya NdaniTV.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa  >>>  INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments