Habari za Mastaa

Iyanya asherehekea birthday yake, unajua nini kimetokea siku hiyo? Stori na pichaz zipo hapa

on

Iyanya VIIStaa wa muziki kutoka Nigeria, Iyanya ambaye kwa sasa unaweza kumuita Mr. Oreo, jina la nyimbo aliyoiachia siku chache zilizopita na inapewa airtime ya kutosha kwenye vituo vya redio, tv na hata kukusanya viewers wengi kwenye mtandao wa youtube, alikuwa anasherehea sherehe ya kuzaliwa akitimiza miaka 28.
Jamaa aliangusha bonge la birthday party London, Uingereza akiwa na washkaji na fans wake wa kutosha.
Hizi ni picha 18 zinazoonyesha namna jamaa alivyocelebrate birthday yake.

Iyanya X

Hii ndio keki ya Birthday ya Iyanya.

Inyanya VI
Iyanya II
Iyanya III
Iyanya IV
Iyanya IX
Iyanya V
Iyanya VII
Iyanya VIII
Iyanya XI
Iyanya XIII
Iyanya
Iyanya-Birthday-Party-October2014-BellaNaija027-450x600
Iyanya-Birthday-Party-October2014-BellaNaija029-600x399
Iyanya-Birthday-Party-October2014-BellaNaija036-450x600
Iyanya-Birthday-Party-October2014-BellaNaija047-600x450
Iyanya-Birthday-Party-October2014-BellaNaija048-600x450
Iyanya-Birthday-Party-October2014-BellaNaija050-600x450Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments