Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Baada ya Don Jazzy kuwa kwenye ‘Collabo’ ya P Square, hapa yuko na Iyanya- ‘Gift’ (VIDEO)

on

dON jAZZY

Baada ya kutoa audio ya single yake mpya ya Gift, sasa Iyanya ameamua kutoa video ya wimbo huo ambao amemshirikisha mkali mwenzake kutoka Nigeria, Don Jazzy.

Hii imekuja muda mfupi baada ya wakali wengine wa muziki kutoka Nigeria, P Square kumshirikisha Don Jazzy ambayo juu kwenye list ya zinazofanya poa sasa hivi kwenye chat za TV na radio.

Hapa nakukaribisha kuitazama video hiyo.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments