Habari za Mastaa

VIDEO: Iyo aeleza alivyokutana na Diamond Platnumz na kufanya naye kazi

on

Kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO leo tuko na Iyo, msanii kutoka Nigeria ambaye amefanya collabo na Diamond Platnumz. Iyo amepiga story nyingi na Asteria Mvungi ikiwemo ya jinsi alivyokutana na Diamond, maisha yake pamoja na harakati za muziki kwa ujumla.

>>>”Watu wengi walikuwa wakiniuliza kwa nini nimeacha wasanii wa nyumbani na kumtafuta Diamond lakini nakumbuka wakati nimesikiliza beat ya wimbo wangu nilijua mtu anayefaa kuwepo ni Diamond. Ilikuwa aina ya muziki ambao Diamond anafanya’.

“Ikabidi  nimcheki Meneja wangu Mr. Sunday Are nikamwambia baba nataka kufanya wimbo lakini huu wimbo namhitaji Diamond. Kama bahati, yaani nimekuwa mtu wa bahati siku zote Meneja wangu akasema atamcheki Diamond, alipomcheki Diamond akaomba kutumiwa wimbo ausikilize kwanza ndipo baadaye tukafanya mipango ya kurekodi na tukafanya na Video.” – Iyo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama full Interview>>>

VIDEO: Wanachokumbuka Idris na Dogojanja kwenye hizi picha>>>

Soma na hizi

Tupia Comments