Habari za Mastaa

PICHA 23: Izzo B na Stamina walivyowarusha watu wao wa Mbeya kwenye usiku wa Pasaka

on

Usiku wa March 27 Mastaa Izzo B na Stamina waliidondosha burudani kwa watu wao wa Mbeya  au Green City kwenye show iliyopewa jina la HOME SWEET HOME iliyofanyika katika ukumbi wa Viva night lounge, show ambayo hufanyika kila mwaka mkoani hapo.

Kama kawaida, kazi yangu ni kuhakikisha kuwa hupitwi na lolote linalonifikia na tayari nimekusogezea hizi picha picha 23 kutokea pande hizo.

IMG_0605

Warembo na pozi zao, huyu jamaa sasa pembeni…

IMG_0604

Hapa ni kabla ya show, jamaa anapata kinywaji kwanza

IMG_0524

David Nyembe Mtangazaji wa redio

IMG_0637

kutokea kushoto Mrembo Ashley, Producer Dupy wa uprise music na mrembo Amina

IMG_0628

Kutokea kushoto Stamina na Izzo B

IMG_0641

Stamina akiwaamsha watu wake wa Mbeya

IMG_0639

Mc wa show hiyo Adam Solinza

IMG_0644

Stamina kwenye hisia za burudani na watu wake

IMG_0656

IMG_0684

Wengine hawakutaka kupitwa na kumbukumbu yani

IMG_0690

IMG_0694

IMG_0707

Izzo B akiitoa burudani kwa watu wake

 

IMG_0709

IMG_0719

IMG_0745

IMG_0749

Producer Dupy na Izzo B wakisalimia mashabiki

IMG_0753

Izzo B On stage

IMG_0769

IMG_0777

Kubambia pia hakukuwa mbali na mashabiki yani

IMG_0778

Burudani ikikolea ruksa kujiachia

IMG_0786

IMG_0789

Full shangwe kwa mashabiki

IMG_0806

Mc wa show Ashley On stage

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Ilikupita hii Video ya Watoto wa Kitanzania walivyocheza mbele ya Vanessa Mdee akitafuta dancers?

Soma na hizi

Tupia Comments