Habari za Mastaa

VIDEO: Navy Kenzo walivyoperform Club Duet nchini Israel

on

Kundi la Navy kenzo kutoka Tanzania ambalo liko kwenye tour a kimuziki nchini Israel limeendelea kukonga nyoyo za mashabiki wake nchini humo ambapo April 15, 2017 walifanya show nyingine.

Show hiyo ilipigwa Club Duet iliyopo katika mji wa Rohovot…itakumbukwa kuwa tayari Navy Kenzo wameshafanya show katika Club Barbie  na Club Colosseum zote za mjini Tel Aviv.

Bonyeza Play hapa chini kutazama Full video

VIDEO: Navy Kenzo walivyoperform Club Colosseum nchini Israel

FULL VIDEO: Navy Kenzo walivyo-perform Club Barbie Israel

Soma na hizi

Tupia Comments