Ad

Habari za Mastaa

Izzo Bizness aingia studio kurekodi na msanii wa Nigeria……

on

Ni rapper kutokea Mbeya, Izzo Bizness ambae anazimiliki headlines baada ya kuingia studio kurekodi na msanii wa Nigeria, YCEE.Wasanii hao waliingia studio Jumatano ya Sept 31, 2016 kurekodi single hiyo ya pamoja.

swe3222222

ULIIKOSA HII VIDEO YA MSANII KUTOKA NIGERIA YCEE ANAYEMKUBALI MSANII WA BONGO ANAYEMKUBALI BASI ITAZAME HII VIDEO

 

 

Tupia Comments