Video Mpya

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana ni Izzo B, Jay Melody na chupa kali ‘nishadata’

on

Mabibi na Mabwana, Brother’s and Sister’s tunae tena Izzo B kutoka Mbeya City na ngoma yake mpya ambayo kaifanyia kichupa kikali ‘Nishadata’ alafu akamaliza kabisa kwa kumuweka Jay Melody kwenye chorus, itazame hapa chini mwanzo mwisho

“NILIKUJA DSM SINA HATA MAHALI PA KUISHI” – IZZO B

EXCLUSIVE: WAZAZI WAWA KIKWAZO IZZO B KUWAZUNGUMZIA WATOTO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments