Habari za Mastaa

Izzo Bizness katuletea zawadi ya Christmas, wimbo ni ‘Walala Hoi Part 2’- Feat. Navio & Mwasiti.. (+Audio)

on

Rapper kutoka Mbeya City ambaye leo December 25 2015 anasherehekea pia siku yake ya kuzaliwa… Happy BIRTHDAY na kila la kheri mtu wetu Izzo Bizness.. umetimiza miaka mingapi leo ?!!

Okay, tuachane na hilo la umri wa Izzo… Christmas hii Izzo kaona aangushe kitu kizuri kushare na watu wake wote, kwa maana nyingine hii ndio zawadi yetu kutoka kwa birthday boy Izzo Bizness.

IZZOCOVER

Wimbo ni ‘Walala Hoi Part 2‘- Izzo Bizness Feat. Navio & Mwasiti.. Unaweza kuisikiliza sasahizi kwa kubonyeza link hii ya neno ‘HAPA‘ >>> HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments