Habari za Mastaa

Irene Uwoya afanya Dua ya kuwaombea mastaa waliotangulia mbele za haki

on

Mwigizaji Irene Uwoya ameamua kusherekea siku yake ya kuzaliwa Leo December 18 kwa kushare na baadhi ya watoto wasiojiweza, wakiwemo walemavu na shughuli hiyo imeambatana na Dua waliyosomewa baadhi ya watu maarufu walio watangulia mbele za haki akiwemo marehemu Mangwea, Kanumba, Baba Wa taifa na wengine wengi.

BOMYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO.

VIDEO: Aliyezaa na Charles Baba kafunguka baada ya kusikia kaoa “Hatoi matunzo kwa mtoto”

Soma na hizi

Tupia Comments