AyoTV

VIDEO: Maonesho ya waandaji wa maharusi na sherehe, Waziri Shonza kayaongelea

on

Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Juliana Shonza amekuwa ni mgeni rasmi katika maonesho ya waandaaji wa maharusi na sherehe ( Adorable wedding trade fair) yanayo fanyika kila mwaka ya kikutanisha waandaaji na wadau mbali mbali wanao husiana na maswala ya sherehe na kufanya maonesho ya biashara zao ili kunufaika kwa kupata elimu na kuzitangaza biashara zao.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO.

PART 1: ROMA NA MKE WAKE WASIMULIA MSAADA WA RUGE KWENYE MAISHA YAO “ALITUTAFUTIA SEHEMU YA KUISHI”

Soma na hizi

Tupia Comments