Habari za Mastaa

Gari mpya ya MC Pilipili, Tanzania nzima wasanii watano tu ndo wanayo (+video)

on

Toka MC Pilipili apate ajali na gari yake Prado hakuwahi kutuonesha gari yake mpya, leo May 24, 2018  rasmi ameamua kutuonesha gari yake mpya aina ya BMW ambayo amesema amenunua zaidi ya Milioni 30 na kuwataja mastaa ambao wanamiliki magari aina ya BMW ambao kasema hawazidi sita.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama MC PILIPILI akielezea.

Wabunge walishtuka Mchumba wa MC Pilipili kuolewa na Mwijaku

EXCLUSIVE: Nyoshi kafunguka kutumia mkorogo, ametaja mastaa wanaotumia

Soma na hizi

Tupia Comments