Habari za Mastaa

Majibu ya Monalisa video ya Kajala na Paula wakicheza ‘kuna ubaya akicheza na mwanae?’

on

Monalisa amehojiwa na AyoTV na millardayo.com kuhusu video inayosambaa mtandaoni ya Kajala na mtoto wake Paula ikiwaonesha wakicheza huku tafsiri ya mashabiki na komenti zimekuwa na mitazamo tofauti. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichojibu Monalisa.

MAMA MONALISA “Sipendezwi na kinachoendelea mitandaoni, Sonia nilimwambia anasomea kijiji”

VIDEO: Monalisa kaja na jipya kwa wanawake wanao tayarisha filamu

Soma na hizi

Tupia Comments