Top Stories

Jangwani yamezwa

on

Mvua zinazoendelea kunyesha Dar es salaam ndio gumzo la sasa ambapo tayari Polisi wamethibitisha vifo tisa vilivyotokana na mafuriko, hii video hapa chini inaonyesha hali ilivyo kwenye eneo la Jangwani ambapo mara zote mvua kubwa huleta athari kwenye eneo hilo.

MAFURIKO DSM 2018: IDADI YA WALIOFARIKI KUFIKIA APRIL 16 2018

Soma na hizi

Tupia Comments