Habari za Mastaa

Dayna Nyange amerudi tena kwenye spika zako! time hii ni ‘I do’ isikilize hapa

on

Screen Shot 2014-06-27 at 8.54.14 AMMara yake ya mwisho kusikika na single mpya redioni ilikua tarehe 14 December 2012 na ilikua ni ‘mimi na wewe’ kwenye video na Audio ambapo sasa mrembo huyu amerudi tena kwenye spika zako.

Single hii ameitoa siku kadhaa tu baada ya kusambaa kwa picha zake za utata akiwa na Nando mwakilishi wa Tanzania kwenye jumba la BBA.

Screen Shot 2014-06-27 at 9.12.59 AM

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB

Tupia Comments