AyoTV

Mabibi na Mabwana Jux anayofuraha kuwaonyesha video yake mpya ya ‘nitasubiri’ @JuxVuitton

on

Screen Shot 2014-06-27 at 10.01.24 AMNi video iliyofanyika China ambayo kabla haijatoka tayari ilitengeneza headlines kwamba mrembo alieonekana ndani ya video ni Jackie Cliff mpenzi wake Jux ambae aliingia kwenye headlines mwishoni mwa mwaka 2013 kutokana na kudaiwa kukamatwa na dawa za kulevya China.

Kipisi cha video kilichotangulia kutoka ndio kilifanya watu waseme ni Jackie Cliff yupo kwenye hiyo video manake sura ya mrembo kwenye hicho kipisi haikuonyeshwa lakini umbo lake lilifanana na Jackie.

Sasa video yenyewe ndio imetoka na kila kitu so itazame hapa chini.

Jux atapita hapa leo saa kumi na mbili jioni kusoma maoni ya watu wake kwa hiyo kama una chochote cha moyoni baada ya kuitazama hii video unaweza kumuachia comment hapa chini….. umeikubali kwa asilimia ngapi?

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB

Tupia Comments